Kesho Jumatatu Vijimambo Italonga na Daniel Nyalusi ataelezea historia yake kwa ufupi, nimatatizo gani anayopata anapoandika mpaka kuongoza movie, Serikali inashiriki kiasi gani katika kuchangia kuinua Bongo Movie ni kitu gani ambapo anafikiria kama kikifanyiwa kazi kinaweza kuinua Bongo Movie USIKOSE KUMSIKILIZA
No comments:
Post a Comment