ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 30, 2012

DIMOND ASHUKA DAR LIVE, MBAGALA NA HELIKOPTA.



Huyu ndiye Diamond mwingine hakunaga, akielekea kupanda helikopta kwenda viwanja vya Dar Live kufanya makamuzi jana Jumapili, 29 April 2012
Diamond akiwa na rubani wake wakielekea kwenye helikopta
Hapa nimemkubali maana hakuna kitu muhimu kama kujikabidhi mikononi mwa Mungu kabala ya kufanya jambo lolote
Yes Sir, Salute
Mashabiki full kupagwa baada ya kusikia helikopta ikiwasili na star wao
Helikopta ikingia uwanjani hapo chezeaaa
Dar Live palikuwa hapatoshi
Ilikuuwa patashika kwa mashabiki wa Diamond, Bless them
Helikopta ikamshushua na kuondoka zake
Diamond akimsalute rubani wake na Mwenyezi Mungu kwa kumfikisha salama
Ni showbiz kwa kwenda mbele, hapa akisalimiana na mashabiki wake
Diamond akishuka kwenye gari tayari kwenda kufanya makamuzi
 Picha kwa hisani ya Issa Mnali & Erick Everist (GPL)

No comments: