wewe ni typical mswahili,sikufahamu lakini unachoongea hapa ni kama unaongelea mambo ya huko Tanzania, nadhani mambo ya udini hapa USA haipo... naona kama umeshajiweka tayari mbele ya wagombea wenzako, unasema "wengine wanasema juu juu tu", pia kama unaongea kiswahili ongea kiswahili tupu usichanganye changanye na english na kama unaongea english basi ongea english pekee.
Msemaji hapo juu nakushangaa sana nadhani wewe ni mmoja kati ya watu wanaoeneza propaganda kuwa ndugu IDDY SANDALI ni mdini. Je unaweza kuthibitisha vipi kwamba Iddy ni mdini au anaongelea masuala ya kupendelea Dini yake. Sisi tunataka kiongozi yeyote yule bila kujali Dini yake. Na hiyo sifa ya kuwa flexible kwenye masuala ya dini Iddy Sandali anayo. Si kweli kama Mdini kama mnavyoeneza Propaganda mtaani. Kwa kukuthibitisia hilo Iddy hata Shughuli za makanisa huwa anahudhuria. Pia hata mtu wa karibu yake nyumbani si mwislamu. Au kwa sababu aliwahi kuongoza taasisi ya kiislam ndio mnatumia kigezo cha kusema ni mdini. Kuna wagombea humu tunawajua walifikia hatua ya kusema msimchague Iddy kwa sababu huu ni wakati wa jumuia kuongozwa na Mkristu. Jamani kampeni hizo chafu hatupendelei. Tupo tayari kuongozwa na mtu yeyote bila kujali Dini yake. Na nakueleza kwa taarifa yako mimi ni Mkristo lakini nampa kura yangu IDDY SANDALI.
3 comments:
Sijawahi shiriki kwenye chaguzi za hii jumuiya toka nifike hapa Marekani,uchaguzi huu lazima nipige kura kwa ajili yako IDD SANDALI.

Post a Comment