ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 2, 2012

MAMA ASHA BILAL AADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI NCHINI KWA KUPANDA MITI ENEO LA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akipanda mti leo, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya upandaji miti inayoadhimishwa nchini kote kila ifikapo Aprili 01, kila mwaka.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimwagilia maji mti baada ya kupanda leo, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya upandaji miti inayoadhimishwa nchini kote kila ifikapo Aprili 01, kila mwaka.

No comments: