MSIKILIZE Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru
Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru (Msikilize kwa MAKINI !)
14 comments:
Anonymous
said...
Iam very disapointed,baada ya mh lusindo kuwa mfano katika jamii lakini yeye ndo wa kwanza kuongea matusi makali hadharani....wana vijimambo hivi mnafikirije jamaa huyu kweli ana akili timamu au ni bangi. what a shame na bado watu walioko mkutanoni bado wanamshangilia kwa matusi yake mazito. Mdau. Dresden -Germany (Network Adminstator)
nawasikitikia watu walimpa wadhifa wa ubunge....ni anatia aibu ...hajui kwama watu wanataka kusikia sera na sio hayo matusi.....si aibu kwa ccm tu bali kwa taifa..mambo kama hayo ndo yanayotukatisha tamaa kurudi nyumbani. jimmy.Denmark
Siasa za nchi yetu kwa kweli ni mambo ya aibu, how can someone be this low bila kujali kadmnasi iliyokuwepo na watoto waliokuwepo. I hope 10 yrs from now he will look on this and be so ashamed of himself. Shame on him.
Well if you guys dont know... more than half of Wabunge wa CCM are like that..its time to change , we just need fresh new direction...we have CCM for all these years what have they done to regular Tanzanian? ..who just needs clean water, good health care and stable power...ZERO.So it is about time to CHANGE TANZANIA...
hii ni ajabu na kweli mbunge mzima kusimama mbele ya watu na kutoa matusi mazito namna hii na watoto wapo hapo ni baba mwenye familia yake hata kama chadema walitukana kwanini yeye asiwe mstaarabu kwani ukishindana na kichaa na wewe utaitwa kichaa yaani nimestaajabu na kuishiwa nguvu kabisa kweli tanzania sijui inaelekea wapi mimi nimemwona alivyoanza kupokea maik nikadhani anamwaga sera kumbe anamwaga matusi sasa watoto wake wakija kuona hii video si aibu kwake na familia yake hiiainiingii akili kabisa mbunge mzima kutukana namna hii amewadhalilisha wanaccm mzimahapa nimeishiwa maneno Mungu atusaidie aokoe hii nchi tz
hivi viongozi wetu wanapewaga semina za public speaking kweli...???? geeze !! wat a shame kwa taifa letu, Mungu tubariki,mimi sina chama ,ila nimefurahi walivyokosa !! aibu sana kiongozi kuongea pumba hivyo !!
this is RIDICULOUS,and Unbelievable! I have no words, but I am ashamed of my country and the so called wabunges wa CCM. I have never imagined that someone like him would use his stinking month to curse in front of those primary school kids??????????
Nilisikiliza Malecela W. clip kabla ya hii akieleza Tanzania ina democrasi nzuri kuliko nchi za africa mashariki watu wana uhuru wakuongea magazeti mengi democrasi ipo kwa miaka 50, wakati najaribu kudaijesti. nikaangalia huu mharisho sikuamini mbuge wa bunge kuu la nchi anaongea vile hadharani kweli inasikitisha.
Sidhani kama matusi yanaruhusiwa hadharani, Nafikiri CHADEMA wana mwanya mzuri wa kumfikisha huyu Bwana mahakamani ili aweze kujibu haya aliyokuwa anayasema kama alisema akiwa na akili timamu. Pia CCM wanatakiwa kumchukulia hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kumvua uanachama kwani amekidhalilisha chama na Mwenyekiti wake, kwani alitumwa na Mwenyekiti wa Chama kusema kwa niaba yake. na kama mwenyekiti wa CCM akilinyamazia hilo basi ni kwamba amekubaliana na aliyoyasema kwamba ndicho alichomtuma kusema, hivyo yeye atawajibika kuyajibu - hivyo ajiuzulu nafasi yake kwenye Chama. Hili linasikitisha.
Kama viongozi wanafikia mahali pa kutoa matusi namna hii tena hadharani tunaifundisha nini jamii ya watoto waliokuwa wanamsikiliza?
We surely need educated people who can at least apply a bit of their education knowledge not dickheads like that so called lusinde..to be honest he's just a piece of shite...is he real serious?he talked trash throughout this video...did not get any single sense from his entire speech.....we tanzanians need a change now...we shouldn't give such trashes a chance to be our reps...sasa mtu kama huyu anaongea nini mbungeni?
hapo ndio kosa kubwa hapa alikuwa akitukana sio ccm ni mtu mmoja mimi sielewi kwanini mnapenda kuilamu ccm kwani ccm ndio iliomtuma atukane au yeye mwenyewe na saa ingine tunatakiwa tuwarekebishe sio kuwa blame hawa watu wanaitaji kusaidiwa kuelimishwa ithink ccm ni kama kizuri sio kuilaumu tuu basi tuirekebishe mdau wa ccm
Kwa nini bado anaitwa Mheshimiwa, au ndio waheshimiwa wetu wa Tanzania walivyo! sidhani kama Bunge CCM ndio limemtuma kuongea hivyo. Maana sisi tulio nje, na kuona siasa za wenzetu zinavyoendeshwa, mtu kama huyo angefikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mimi sasa hvi namuuliza Mheshimiwa rais wetu, kama amesikiliza hizo sera na anakubaliana nazo. Na kama hakubaliani nazo anachukua hatua gani, maana yeye ndio kiongozi mkuu wa chama na serikali. Mimi binafsi ni mwanachama wa CCM, na nakiheshimu chama changu, na siku zote nakitetea. Kwa muelekeo huo kama rais hataliona hilo kuna TATIZI KUBWA.
14 comments:
Iam very disapointed,baada ya mh lusindo kuwa mfano katika jamii lakini yeye ndo wa kwanza kuongea matusi makali hadharani....wana vijimambo hivi mnafikirije jamaa huyu kweli ana akili timamu au ni bangi.
what a shame na bado watu walioko mkutanoni bado wanamshangilia kwa matusi yake mazito.
Mdau.
Dresden -Germany (Network Adminstator)
nawasikitikia watu walimpa wadhifa wa ubunge....ni anatia aibu ...hajui kwama watu wanataka kusikia sera na sio hayo matusi.....si aibu kwa ccm tu bali kwa taifa..mambo kama hayo ndo yanayotukatisha tamaa kurudi nyumbani.
jimmy.Denmark
Siasa za nchi yetu kwa kweli ni mambo ya aibu, how can someone be this low bila kujali kadmnasi iliyokuwepo na watoto waliokuwepo. I hope 10 yrs from now he will look on this and be so ashamed of himself. Shame on him.
Well if you guys dont know... more than half of Wabunge wa CCM are like that..its time to change , we just need fresh new direction...we have CCM for all these years what have they done to regular Tanzanian? ..who just needs clean water, good health care and stable power...ZERO.So it is about time to CHANGE TANZANIA...
hii ni ajabu na kweli mbunge mzima kusimama mbele ya watu na kutoa matusi mazito namna hii na watoto wapo hapo ni baba mwenye familia yake hata kama chadema walitukana kwanini yeye asiwe mstaarabu kwani ukishindana na kichaa na wewe utaitwa kichaa yaani nimestaajabu na kuishiwa nguvu kabisa kweli tanzania sijui inaelekea wapi mimi nimemwona alivyoanza kupokea maik nikadhani anamwaga sera kumbe anamwaga matusi sasa watoto wake wakija kuona hii video si aibu kwake na familia yake hiiainiingii akili kabisa mbunge mzima kutukana namna hii amewadhalilisha wanaccm mzimahapa nimeishiwa maneno Mungu atusaidie aokoe hii nchi tz
hivi viongozi wetu wanapewaga semina za public speaking kweli...???? geeze !! wat a shame kwa taifa letu, Mungu tubariki,mimi sina chama ,ila nimefurahi walivyokosa !! aibu sana kiongozi kuongea pumba hivyo !!
this is RIDICULOUS,and Unbelievable! I have no words, but I am ashamed of my country and the so called wabunges wa CCM. I have never imagined that someone like him would use his stinking month to curse in front of those primary school kids??????????
Nilisikiliza Malecela W. clip kabla ya hii akieleza Tanzania ina democrasi nzuri kuliko nchi za africa mashariki watu wana uhuru wakuongea magazeti mengi democrasi ipo kwa miaka 50, wakati najaribu kudaijesti. nikaangalia huu mharisho sikuamini mbuge wa bunge kuu la nchi anaongea vile hadharani kweli inasikitisha.
At least he said he was born crazy.Do not blame him.
Sidhani kama matusi yanaruhusiwa hadharani, Nafikiri CHADEMA wana mwanya mzuri wa kumfikisha huyu Bwana mahakamani ili aweze kujibu haya aliyokuwa anayasema kama alisema akiwa na akili timamu. Pia CCM wanatakiwa kumchukulia hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kumvua uanachama kwani amekidhalilisha chama na Mwenyekiti wake, kwani alitumwa na Mwenyekiti wa Chama kusema kwa niaba yake. na kama mwenyekiti wa CCM akilinyamazia hilo basi ni kwamba amekubaliana na aliyoyasema kwamba ndicho alichomtuma kusema, hivyo yeye atawajibika kuyajibu - hivyo ajiuzulu nafasi yake kwenye Chama. Hili linasikitisha.
Kama viongozi wanafikia mahali pa kutoa matusi namna hii tena hadharani tunaifundisha nini jamii ya watoto waliokuwa wanamsikiliza?
Mungu atusaidie
We surely need educated people who can at least apply a bit of their education knowledge not dickheads like that so called lusinde..to be honest he's just a piece of shite...is he real serious?he talked trash throughout this video...did not get any single sense from his entire speech.....we tanzanians need a change now...we shouldn't give such trashes a chance to be our reps...sasa mtu kama huyu anaongea nini mbungeni?
hapo ndio kosa kubwa hapa alikuwa akitukana sio ccm ni mtu mmoja mimi sielewi kwanini mnapenda kuilamu ccm kwani ccm ndio iliomtuma atukane au yeye mwenyewe na saa ingine tunatakiwa tuwarekebishe sio kuwa blame hawa watu wanaitaji kusaidiwa kuelimishwa ithink ccm ni kama kizuri sio kuilaumu tuu basi tuirekebishe mdau wa ccm
This is too sad...Im so disgussed!!!!!
Kwa nini bado anaitwa Mheshimiwa, au ndio waheshimiwa wetu wa Tanzania walivyo! sidhani kama Bunge CCM ndio limemtuma kuongea hivyo. Maana sisi tulio nje, na kuona siasa za wenzetu zinavyoendeshwa, mtu kama huyo angefikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Mimi sasa hvi namuuliza Mheshimiwa rais wetu, kama amesikiliza hizo sera na anakubaliana nazo. Na kama hakubaliani nazo anachukua hatua gani, maana yeye ndio kiongozi mkuu wa chama na serikali. Mimi binafsi ni mwanachama wa CCM, na nakiheshimu chama changu, na siku zote nakitetea. Kwa muelekeo huo kama rais hataliona hilo kuna TATIZI KUBWA.
Post a Comment