ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 14, 2012

Mjuwe Mgombea wa kiti cha ukatibu wa DMV Alonga na swahilivilla

5 comments:

bagasa said...

Cherehani- Good interview. Nimekukubali. Nimekuendozi.

BABA WAWILI WA LAUREL,MARYLAND. said...

Kura zetu umepata,kura za wana DMV ni zako kwani tuna imani kubwa na wewe.Historia yako,elimu yako,ushiriki wako katika jamii vinatosha kupata kura 90 percent.

Anonymous said...

Kwa hiyo Cherehani ume kuindose Iddy Sandaly?

Anonymous said...

Kwa hakika niliposikia tu umechukua fomu nikasema moyoni kwamba sasa ndio tunapata kiongozi tuliyekuwa tunamhitaji. Una sifa zote Elimu nzuri, Mchapakazi. Pia ni mshiriki mzuri kwenye mambo ya kijamii. Mwisho kabisa nakufananisha na Waziri Magufuli ktk utendaji kazi.

Anonymous said...

very realistic plans....