MWANADIASPORA AUNTY REHEMA BARKSDALE ALONGA NA VIJIMAMBO
MwanaDiaspora Aunty Rehema Barksdale ambae ni mnusurika wa saratani ya matiti, alonga na Vijimambo aongelea historia yake kwa ufupi na Je wanaume wanaweza kupata saratani ya matiti?, ni vyakula gani tunavyopaswa kula ili kusaidia kutopata ugonjwa wa saratani, Susan G. Koman ni nani...MSIKILIZE
2 comments:
Hivi nyinyi watu mnaojiita wa mjini eti DMV mkoje lakini???huyu anti anatoa video ya maana anaelezea mungu alivyo mkubwa na jinsi gani alivyokua survivor wa ugonjwa huu hatari na sugu!!kweli watu hamuoni?watu mmekaa mnatoa comment za kijinga tu,kijinga tu!hata comment za kutia moyo au kumpa pole na hongera hamna,na nina uhakika kuna baadhi ya watu mmeipita bila hata kuisikiliza!maana Saratani ni kwa mtu yeyote yule kama mlivyosikia hata wanaume wanapata!mimi mwenyewe nimeshuhudia mwanaume ana saratani ya ziwa!Aunt yangu mwenyezi mungu atakupa afya njema katika hali yako.Mimi ni yuleyule mjukuu wa fulani mwaka 47!nikikuona nitakushtua,lol.Nimeisikiliza video yako kwa makini zaidi,tunashukuru sana kwa yote uliyoyaongea kama muhusika halisi.Hongera sana na Allah ni mkubwa.
Great stuff.
Educational
Post a Comment