Advertisements

Thursday, April 19, 2012

PROFESA LIPUMBA ALAANI VURUGU ZILIZOTOKEA HUKO TANDAHIMBA

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akiongea na waandishi wa habari leo katika makao makuu ya chama hicho yaliyoko Buguruni jijini Dar es Salaam juu ya kulaani vikali vurugu zilizotokea katika wilaya ya Tandahimba iliyopelekea kuchomwa moto baadhi ya vibanda vya wafanyabihashara ambao ni wancahama wa chama hicho waliojitokeza kuzima moto uliokuwa unaunguza ofisi ya kamanda mkuu wa polisi wilayani humo.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano huo wakiwa makini kumsikiliza Profesa Lipumba.
Picha kwa hisani ya FULLSHANGWE

No comments: