Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania ameiarifu kamati kuu ya CCM kwamba atafanya mabadiliko kufuatia shutuma za matumizi mabaya ya fedha. Kwa Habari zaidi Bofya hapa
2 comments:
Anonymous
said...
Mbona huyu dakitari raisi hakuitisha kikao cha NEC wakati anateua mawaziri?????? Majizi ni wanane, kwanini anavunja baraza zima?????? Kama kuna mtu anafahamu shahada ya udakitari alitunukiwa na chuo gani, tafadhali naomba jibu.
Ha ha anon wa kwanza you said it very well! Mi najiuliza hivi kama hiyo kamati kuu ingekataa asivunje baraza/kufukuza hao mawaziri angefanyaje? Mawaziri wote waliokumbwa na kashfa ni watuhumiwa; ni muhimu wangefanya hivyo (jiuzulu) mapema wakati hiyo ripoti ya CAG imetoka. Nina imani kabisa hizi ripoti zinafika ikulu kabla hata hazijafika bungeni, sasa swali ni kama raisi anasoma au la? Kama alisoma, alipashwa kuwaweka pembeni hata kabla bunge halijaanza. There is something that is very very wrong somewhere ndio inafanya wengi wanakuwa bubu!

Post a Comment