Advertisements

Friday, April 20, 2012

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA BRAZIL

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na wajumbe wa chama cha wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo Aprili 19, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na viongozi wa chama cha wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo, Brazil Aprili 19, 2012. Wa pili kushoto ni Makamu wa Rais wa chama hicho Bw Joao Guilherme Sabino Ometto na kushoto ni Mkurugenzi wa chama hicho Thomaz Zanotto na kulia ni Waziri wa Kazi na Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar Mh Haroun Ali Suleiman.
PICHA NA IKULU

No comments: