Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Hassan Majaar Trust Bi. Zena Maajar Tenga akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Duka la Hisani la Taasisi hiyo litakalojulikana kama “Hassan Majaar Charity Shop” lililopo maeneo ya Mikocheni katika Jengo Arcade jijini Dar es Salaam. Bi. Tenga ametoa wito kwa Wadau nchini kote kupeleka vitu mbalimbali kuchangia chochote ikiwemo nguo hata zilizotumika, viatu, vitu ya watoto, vitabu, kama mchango kwa ajili ya kuuzwa katika duka hilo na fedha zitakazopatikana zitatumika kununua madawati kwa shule za umma za msingi na sekondari ili kuboresha elimu nch
Mjumbe wa Kamati ya Taasisi ya Hassan Maajar Trust Bi. Zuhura Sinare Muro akifafanua Jambo na kuwataka Watanzania kuijenga nchi yetu kwa kufanikisha kampeni ya dawati kwa kila mwanafunzi.ini.
Mjumbe wa Kamati ya Taasisi ya Hassan Maajar Trust Bi. Zuhura Sinare Muro ( wa kwanza kulia) akiongoza wageni waalikwa kupata kifungua kinywa wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa duka la hisani la Taasisi hiyo. Katikati ni Mchungaji Mgoyela akiwa ameambatana na mkewe.
Wanafunzi wa Shule ya msingi Ushindi ya Mikocheni jijini Dar es Salaam wakisevia vitafunwa wakati wa hafla hiyo.
Wageni waalikwa wakipata kifungua kinywa.
Mtoto Elias Lema wa shule ya DIS akitoa burudani wakati wa hafla hiyo.
Mjumbe wa Kamati ya Taasisi ya Hassan Maajar Trust Bi. Zuhura Sinare Muro akifafanua Jambo na kuwataka Watanzania kuijenga nchi yetu kwa kufanikisha kampeni ya dawati kwa kila mwanafunzi.
Hii ni Size yangu... Mdau akinena.
Mtoto Elias Lema wa shule ya DIS akitoa burudani wakati wa hafla hiyo.
Mdau Fredrick Njoka akichagua koti la suti katika duka hilo.
Mjumbe wa Kamati ya Taasisi ya Hassan Maajar Trust Bi. Zuhura Sinare Muro akichagua nguo.
Mdau Sauda Simba akiwasilia dukani hapo na begi lenye nguo baada ya kuguswa na tatizo la madawati nchini. Nguo zote za kike na kiume pamoja viatu ni bei poa kabisa. Duka linafunguliwa Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni na siku za Week end Saa mbili asubuhi mpaka saa nane mchana. Kwa picha zaidi ingia MO BLOG
No comments:
Post a Comment