ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 15, 2012

UCHAGUZI JUMUIYA YA WATANZANIA DMV.
AMOSI CHEREHANI AMWINDORSE IDDI SANDALY FOR PRESIDENT
  
"Taarifa kwa vyombo vya habari: Mimi kama mgombea wa kiti cha ukatibu wa jumuiya ya watanzania dmv nampa full endorsement mgombea wa uenyekiti wa jumuiya mheshimiwa Iddi Sandaly. wale wote watakaonipigia kura pia wampigie kura mr idi sandaly kama Best Candidate wa Position ya uenyekiti wa DMV. amos matali cherehani"

8 comments:

Anonymous said...

Hii ndio timu inayostahili kungoza Jumuia. Wana sifa zote ukianzia Elimu, Uzoefu katika masuala ya utawala nk. Wapiga kura msifanye kosa jamani mkatuchagulia watu ambao baadae tukajilaumu.

Anonymous said...

hawa watapata si kutokana na kupendwa au kukubalika bali ni kutokana na watu wana wanamchukia sana jakob na loveness na huyu loveness ana bahati mbaya sana ya kuchukiwa na watu.

Anonymous said...

Bwana charahani nimekusikia sera zako na ni nzuri ila unaposema kwamba ingekuwa vizuri kufanya kazi na mtu mwenye Cv akademics ilikosea ndugu yangu ..yaani ulitaka kutuma ujumbe kwa mana DMV kwamba Loveness hafai ktk kinyanganyiro icho...icho ni kinyanganyiro kidogo cha jumuiya na sidhani kwamba ni lazima ufanye kazi au ushirikiane na mwenyekiti ambaye elimu yake ni ya juu sana...kwasababu unaweza ukakuta mtu ana elimu ya juu lakini awezi kujichanganya na watu wa matabaka yote.Mimi binafsi nafikiri dada loveness licha ya kwamba cv yake ni ya chini uilinganisha na bwana sandarly lakini ni dada ambaye anaweza kujichanganya na watu na mwenye moyo wa- kusaidia na kutatua matatizo yao ktk jumuiya ya wana DMV,hapa tusidanganyene japo elimu ni muhimu lakini PhD wala Masters za wagombea haziwezi kutatua matatizo ya wana DMV,Mfano tukiangalia nchi yetu Tanzania inaongozwa na watu wenye Elimu ya juu wengi wao wana phD lakini ndo haohao ambao ni mafisadi...Tunaitaji mtu mwenye uwezo wa ku-integrate ktk jumuiya na mtu mbuninifu wa Ideas.
kama Mwana vijimambo natumia fursa hii kumuindozi Dada loveness nafiki nafaa kuwaongoza wana DMV.
WANAVIJIMABO-DRESDEN-GERMANY.

Anonymous said...

We anon wa juu. Sijui habari unazitoa wapi kwamba loveness anachukiwa. She is a very successful career lady and thinks she can make a difference kama rais wa jumuiya ya watanzania hapa DVM. Wa bongo tunamajungu!! Don't hate, instead appreciate and the world will be better place.

Kinyange said...

Anon 8:24 am usiwadanganye wenye akili zao.Loveness anawapigia simu wanaume tuu ? Tena kama ni wa kabila lake,hiyo anatumia kukuomba kura ,kama ni mkristo anaongea juu ya udini.What the ***** Nyerere analia at this time.Jiulize kwa nini hawapigii wanawake wenzie ? Mwanamke mmoja tuu ndio anahangaika kama mwendawazimu kumpigia kampeni Loveness,Why only one ? Tena mpiga kampeni ana kashfa lukuki ? Loveness ana issues nyingi ambazo nyengine nikizieleza hapa,Mpwa hatorusha hii comment.Rais ni Idd,Makamu wa Rais Raymond,Katibu Cherehani,Mweka hazina Malasy period !!!!

Mpiga Kura wa DMV,Mushi. said...

Our leaders in TZ wana PhD za "Kanjanja",thus why sio watu wengi wanawatambua kwa hizo title/honor zao ? Wait aminute,ushkaji na kujuana si ndio kumeifukisha TZ hapa ilipo ? Hata hii jumuiya ya WATZ hapa ilipo ? Kwanza upo Germany ,you have nothing to lose in our election !Get your life.Msonyooooooooo !

Anonymous said...

ila hawa wasomi wajaribu kurudisha umoja wa wa-TZ wasije waka-create makundi between wasomi na wengine.

remember that club ilifunguliwa University blvd na akina JP and the Dj was Luke baadaye kuna mtu akamake comment that hawezi kubishana na watu ambao hawajaenda shule? unfortunately member wengi walikuwa shule bado so woote tukahamia safari club na ile club mpya ikakosa wateja na baadaye kufungwa.

so nyie viongozi wasomi msije tu mkacreate makundi rather treat each and everyone the same

Anonymous said...

Mdau Mushi PhD hata uwe umepatia afghanistan ni PhD tu..si lazima uwe umepatia marekani au Ulaya na sikuelewi unapoasema phD za bongo ni za kanjanja .. Inamaanisha unadharau nchi yake na wale wote alipata Elimu yao tanzania kwamba sisi elimu yetu ipo chini kiasi icho..usidharau nchi yako Mushi.kwanza umeonesha ni WEAK kwanza ukumbuke wewe sio mmarekani ni Immigrant tu...Inabidi ujifunie Utanzania wako Mr Mushi kama auta kuwa mzalendo wa nchi yako unategema Mkenya ndio akutangazie wakati wenzetu wameshatupia bao kwa kusema mlima kilimanjaro upo kenya na sio tanzania ,alafu swali lako la pili kama mdau wa vijimambo aijalishi nipo wapi nafkiri nina haki ya kuchangia sidhani kama hii ni blog ya wana DMV peke yao.alafu tatu ilitosha ku comment bila kuniita msonyooo au kuchafua hali ya hewa.
BILA KUSAHAU TUNAOMBA MPWA UTU UPDATE MATOKEO SISI WADAU AMBAO TUKO MBALI.
MWANAVIJIMAMBO-DRESEDEN-GERMANY.