ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 1, 2012

POCHI LIMEPOTEA USIKU WA VIJIMAMBO

Zay B Dullah amepoteza pochi yake (aliyoshikilia pichani) Pale Mirage Hall ikiwa na kitita cha pesa, kitambulisho na kadi ya Benki, kama kuna yeyote ameiona tafadhali wasiliana na Yeye kupitia 202 403 9732 asante.

No comments: