ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 21, 2012

BABY SHOWER YA SIZA YAFANA

Siza akimchumu baba mwenye nyumba wake kwenye baby shower yake ilyofanyika Jumamosi May 19, 2012, College park, Maryland.
Siza akiwa na baba mwenye nyumba wake kwenye Baby shower yake aliyofanyiwa na marafiki zake.
Siza akimlisha keki baba mwenye nyumba wake keki.
Baba mwenye nyumba akimlisha Siza keki.
Chumu chumu
Wageni waalikwa wakipata ukodak moment.
Wageni waalikwa wakiwa kwenye Baby shower ya rafiki yao Siza iliyofanyika College Park, Maryland siku ya Jumamosi, May 19, 2012.
Wageni waalikwa wakiwa kwenye Baby shower ya Siza.
Wageni waalikwa wakipata Ukodak Moment kwenye Baby shower ya Siza iliyofanyika College Park Siku ya Jumamosi May 19, 2012.
Mama na mwana wakiwa wageni waalikwa kwenye Baby Shower ya Siza.
Wageni waalikwa wakipata Ukodak Moment.
Wageni waalikwa wakiwa kwenye Baby shower ya Siza iliyofanyika College Park, Maryland.

Kwa picha zaidi Bofya Read More

1 comment:

Anonymous said...

wadada mmependezaaaa !!!