WanaJumuia,
Kama nilivyowajulisha asubuhi hii kwamba kaka yetu, rafiki yetu, na mwnajumuia mwenzetu - Kamal Dahoma - amefariki dunia jana jioni.
Tumuombee Mungu ampeleke mahala pema peponi - Ameen.
Maziko yatafanyika kesho Alkhamis saa saba mchana katika msikiti uliopo kwenye address ifuatayo:
1301 East Las Tunas Drive
San Gabriel, CA 91776
Halafu tutakwenda makaburini kwenye anuani ifuatayo:
200 E. Duarte Road
Monrovia, CA 91016
Familia ya marehemu inaishi katika anuani ifuatayo:
4503 Walnut Grove #6
Rosemead, CA 91770
Naomba tuwafariji familia ya marehemu.
Ahsanteni.
Wenu katika majonzi,
Rabia Dahal
No comments:
Post a Comment