Bondia Iddy Mnyeke (kushoto) akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Vitor Njait wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ngumi ya Ilala. Mnyeke anajiandaa na mpambano wake dhidi ya Fadhiri Awadhi utakaofanyika Juni 9.
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments:
Post a Comment