ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 17, 2012

Mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Part 2. Tanzania kuelekea 2015



Hii ni sehemu ya pili kati ya mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe.
Katika sehemu hii, anazungumzia hali ya kisiasa ndani ya CHADEMA na TANZANIA. Hofu yake juu ya ukuaji wa chama chake.
Matatizo yanayoukumba uchumi wa nchi. 
Je! Anahofia kuwa yale yaliyotokea kwenye nchi za Arabuni yanaweza kutokea Tanzania?
Kwanini anasema kuna tatizo la uwajibikaji nchini Tanzania? Anafafanuaje hoja hii?
Ni ipi silaha ya mwanasiasa wa Tanzania? Na kwanini anaamini kuwa imepotea?
Suala la KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU. Ilikuwaje, ikoje na nini kinafuata? Je! Baada ya kubadili baraza la mawaziri, HOJA IMEKUFA?
TATIZO LA AJALI... Kwanini maelfu ya wananchi wanakufa ajalini na hakuna kiongozi anayeonekana kujali ilhali akihusisha Waziri ama M'bunge mmoja nchi nzima inazizima?
Kwanini serikali haiarifu wananchi kama inavyostahili na mengine mengi
UNGANA NASI

NB: Intro ni ileile katika sehemu zote za mfululizo huu.

2 comments:

Anonymous said...

bandio mbona unang'ata na kupulizia?swali ni kwamba hawa akina lowasa,sumaye,maige na wengine kwanza wafilisiwe then wafikishwe mahakamani na wala sio kuachishwa kazi ,ili wapate muda zaidi ya kutafuna pesa walizo iba

Anonymous said...

Piga uwa, iba nyang'anya, I don't care how you get it just get it, teknologia ni muhimu sana Tanzania tukitaka kuendelea haraka, longo longo ya wataalam wa nje itakwisha. Hii itapunguza kuibiwa na wajinga kutoka nchi za nje. Hivyo ninatoa mwito, Watanzania muwapo nje iwe ulaya, America, Asia ibeni teknologia. Japan, China, South Korea you name it, wanaendelea kwa sababu ya wizi wa teknologia kutoka magharibi. Ulaya inaporomoka Marekani inasuasua, China inapanda,  Naamini Tanzania ndiyo wakati wa kufuata nyayo za nchi za Asia.