ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 19, 2012

Mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Part 3. Mahitaji ya Tanzania.



Hii ni sehemu ya tatu kati ya nne za mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe.
Katika sehemu hii, anazungumzia mashirika ya umma nchini Tanzania. Je! Yapo kwa faida ya wananchi?
Kama Mwenyekiti wa Tume ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma anazungumzia vipi tatizo la TANESCO?
Ni nini kilisababisha TANESCO kufikia lilipo? Vipi wanajizatiti kuondoa hasara iliyokumba?
Ni vipi wana-diaspora wanaweza kushiriki katika kufufua Tanesco?+
Ni wapi pa kuwekeza nchini?
Ukuaji wa miji na suala la mipango miji.
Kufuta vyeo vya wakuu wa mikoa na wilaya.
PIA..KWANINI KILIMO NDIO UTI WA MGONGO JAPO UNAZALISHA ASILIMIA ASILIMIA NDOGO ZAIDI NCHINI? Ni vipi Tanzania inaweza kuondoka katika umaskini kwa muda mfupi?
na 
Je! ELIMU YA TANZANIA....INAKUA AMA INAPOROMOKA? INAIFAA JAMII YA TANZANIA?

No comments: