Timu ya Manchester City imenyakua ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kuifunga timu ya QPR kwa bao 3-2 mpaka dakita ya 90 Man City ilikua chini ya bao 2-1 mara ya mwisho Man City kuwa mabingwa wa ligi hiyo ilikuwa mwaka 1968.
Carols Terves akishangilia goli la kwanza baada ya mchezaji mwanzake Pablo Zabaleta kuipatia Man City bao la kwanza.
Mchezaji wa QPR Djibril Cisse akishangilia bao lbaada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha.
Mkwe wake Diego Maradona, Sergio Aguero akipachika bao lililoipatia Man City ubongwa wa ligi kuu ya Uingereza.
Golikipa wa Man City Joe Hart akishangilia ushindi.
Mashabiki wa Man City wakipagawa na ushindi wa timu yao
(picha kwa hisani ya Alex Livesey wa Getty Image ya Ulaya)

No comments:
Post a Comment