Ndugu yetu Abdul (Pokky) Ferej na Fatma Ferej Al Tamin wa Seattle, WA wanasikitika kutangaza kifo cha baba yao mzazi Mzee Aidha Ferej maarufu (Abui)na maarufu pale mgahawa wa Cafeteria mtaa wa mkweku, Dar Es Salaam, Tanzania.
Marehemu amefariki hospitali ya Hindu Mandal Dar Es Salaam siku ya Jumamosi Tarehe 5 Mei, 2012 na maziko yatakua makaburi ya kisutu leo Jumapili tarehe 6 Mei, 2012 baada ya salaat alasiri.
Kwa taarifa zaidi wasiliana
Bi Fatma Ferej Seattle, WA 206 225 7534,
Bw Mansour Ferej Dar Tanzania +255 754 267 722,
Bi Alya London U.K +44 770 405 7660.
No comments:
Post a Comment