ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 21, 2012

MTANZANIA WA KWANZA KUPANDA MLIMA EVEREST AMEFIKA KILELENI.

 
Mtanzania Wilfred Moshi, ambaye ni mtanzania wa kwanza kuipandisha bendera
yetu katika mlima mkubwa kuliko yote, amefanikiwa kuifikisha bendera hiyo
leo asubuhi:
Tunamshukuru sana Mungu kwa kumwezesha na tunamwomba amrudishe salama;
 Picha na Rodrick Mmary

No comments: