ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 21, 2012

Taswila za vingozi wa Chama cha CCM, DMV wakiwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mh. Rais Jakaya Kikwete akipata picha ya pamoja na viongozi wa CCM Washington D.C (DMV) Loveness Mamuya(Mwenyekiti), Jacok Kinyemi (Katibu) na Givens Kasanji (Itikadi)  
 Picha ya pamoja: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mh. Rais Jakaya Kikwete, Mhe. Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, viongozi wa CCM Washington D.C (DMV) Loveness Mamuya(Mwenyekiti), Jacok Kinyemi (Katibu) na Givens Kasanji (Itikadi)  na Shabani Mseba kiongozi wa CCM New York.
 Mwenyekiti wa CCM DMV akimkabidhi Mwenyekiti wa CCM taifa Mh. Rais Jakaya Kikwete ujumbe maalum kutoka kwa Wana-CCM DMV na New York.
  Picha ya pamoja: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mh. Rais Jakaya Kikwete, Mhe. Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, viongozi wa CCM Washington D.C (DMV) Loveness Mamuya(Mwenyekiti), Jacok Kinyemi (Katibu)  na Shabani Mseba kiongozi wa CCM New York.
  Picha ya pamoja: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mh. Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na, viongozi wa CCM Washington D.C (DMV) Loveness Mamuya(Mwenyekiti), Jacok Kinyemi (Katibu) na Shabani Mseba kiongozi wa CCM New York.

No comments: