Timu ya Portugal
Timu ya Tanzania, DMV
mashabiki jukwaa la Tanzania DMV
Jukwaa la mashabiki wa Portugal
Picha juu na chini Ankal akiangalia mtanange akiwa na mashabiki wa Tanzania DMV kwenye uwanja wa Heurich uliopo Hyattsville, Maryland
Mashabiki wa Tanzania, DMV wakifuatilia mechi.
Mashabiki wakiwa uwanjani
Mashabiki wakifuatilia mpambano
Mashabiki wakiwa uwanjani
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Iddi Sandaly akiwa pamoja na aliyewahi kuwa Rais wa Jumuiya DMV Enzi hizo, Bw. Kessy Janabi.
Refa wa mechi ya Portugal na Tanzania DMV, Victor (kulia) kutoka Liberia akiwa na mshika kibendera wake, Mohammed wakipata picha ya pamoja wakati wa mapumziko.
Golikipa wa Tanzania DMV akiangalia mpira uliopigwa na mchezaji wa Portugal ukipita nje sentimita chache kwenye gli lake.
Timu ya Tanzania DMV ikipata mawaiza kutoka kwa Kocha Dedi Luba.
Mchezaji wa Tanzania DMV akipambana vikali na mchezaji wa Portugal.
kwa picha zaidi bofya Read More
1 comment:
Kessy si Raisi wa Jumuiya "Masahihisho"
Post a Comment