ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 6, 2012

SHEREHE YA SHALINI NA SYDNEY MALASY, COLUMBIA, MARYLAND

 
Genes Malasy akiingia ukumbini na wanawe, Shalini (aliyebebwa) ambae amebatizwa Siku ya Ijumaa May 4, 2012 na Sydney aliyepata komunyo ya kwanza Jumamosi May 5, 2012 katika kanisa la Holy Reedemer lililopo Kensington, Maryland.
Sydney (wa pili toka kulia) akiwa meza kuu na marafiki zake wa karibu kwenye sherehe yake ya komunyo ya kwanza na ubatizo wa mdogo wake, Shalini, sherehe zilizofanyikia Columbia, Maryland Jumamosi May 5, 2012.
Sydney akipata chakula katika usaidizi wake Esther
Sydney akiwa amepata chakula akielekea meza kuu
Marafiki wa Sydney wakipata chakula
Keki ya Shalini na Sydney
Sydney akikata keki huku akisaidiwa na Tuma ambae alikua mshereheshaji wa sherehe hiyo.
Sydney akimlisha keki mama yake.
Sydney akimlisha keki baba yake.
Wageni waalikwa wakijumuika pamoja na familia ya Malasy katika sherehe ya Watoto wao iliyofanyikia Columbia, Maryland.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

 

No comments: