ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 25, 2012

taarifa ya kujiunga na chama


TAWI LA
WASHINGTON, DC MARYLAND AND VIRGINIA

 Tunapenda kuwatangazia wana DMV wote kwa wale ambao bado hawajaweza kujiandikisha na  wanapenda  kujiunga na Chama Cha Mapinduzi tawi la DMV, tafadhali tuma jina, anuani na simu yako kwa email;.............. pia kwa maelezo zaidi wasiliana na vingozi wa Tawi Email address:ccmwashdc@gmail.com


 1. Loveness Mamuya – Mwenyekiti…….. 240-423-0437
 2. Yacob Kinyemi – Katibu ……………………. 202-629-7841
 3. Lemi Mhando ……………………………………..202-361-1059
 4. Benjamini  Mwaipaja …………………………….-202 629 7334
 5. Given Kasanju…………………………………………443-433-6968
 6. Alawi Omar…………………………………………..301-339-3765
Taratibu za kugawa kadi na sherehe za ufunguzi wa Tawi zitafanyika rasmi hivi karibuni, mwana CCM ukipata taarifa hizi mfikishie mwanachama mwingine
 

 Kidumu Chama Cha mapinduzi, CCM Oyee!
 Uongozi wa Tawi CCM DMV

No comments: