ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 31, 2012

WILFRED AWASILI MKOANI KILIMANJARO

 Wilfred Moshi ambaye ni Mtanzania wa kwanza kufika kilele cha mlima mrefu
kiliko yote duniani amewasili jana saa saba mchana Nchini. Tunamshukuru
sana Mungu kwa kumlinda.
Wilfred Moshi akilakiwa na ndugu, jamaa na marafiki
Wilfred Moshi akiongea na waandishi wa habari (Picha na Mdau Rodrick Mmary Moshi)

2 comments:

Anonymous said...

Mna uhakika? Au Its Just Fame????

Inamaana in the Entire World All Tanzanians , Yeye Ndiye Wa Kwanza?

SITAKI KUAMINI.

Anonymous said...

Well utabaki hapo hapo kuto kuamini hata pale nitakapo fanya lingine hutaamimi.