Bwana harusi na mpambe wake Nassor kushoto kwa bwana harusi akimsogezea kipaza sauti, waliohudhuria wamsikie anachokieleza
Sheikh akieleza mawili matatu rasmi kumkabidhi majukumu bwana harusi katika maisha yake mapya, tuna mtakia kila la kheri, mafanikio na kizazi chema katika maisha yao
Bwana harusi Ali Hilal akiwa tayari kwa kuozeshwa akionekana imara alivyoushikilia mkono wa baba mkwe ili kumkabidhi majukumu mapya
Baba mkwe na bwana harusi na wadau wengine wakipata picha za ukumbusho katika siku hii adhim
Bwana harusi akipata picha na baba mkwe Sheikh Idrisa au alwatan na mgeni kutoka DC
Kutoka kushoto ni Murry Chomba, Salum, bwana harusi Ali, Muumin, Shaibu Na anko Jack mzee na hazina yetu Boston
Kutoka kushoto mdau wa Dc, katikati New york, kulia mwenyeji wa Boston
Watu mbali mbali wahudhuria kutoka kila kona ya boston na vitongoji vyake na state za karibu kama Rhode Island, Connectcut, New York, New Jersey hata DC na state nyengine
Picha nzuri na zimependeza, kila la kheri
ReplyDelete