eRais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kukutana nao jana Juni 4, 2012 katika hoteli ya Ngurdoto Mountain jijini Arusha. Wabunge hao wapo Arusha tayari kwa kikao chao cha kwanza na wenzao wa Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi kinachofanyika leo ambapo wanatarajiwa kuchagua Spika wa Bunge hilo pamoja na kuapishwa tayari kuanza majukumu yao.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kukutana nao jana Juni 4, 2012 katika hoteli ya Ngurdoto Mountain jijini Arusha.Wabunge hao wapo Arusha tayari kwa kikao chao cha kwanza na wenzao wa Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi kinachofanyika leo ambapo wanatarajiwa kuchagua Spika wa Bunge hilo pamoja na kuapishwa tayari kuanza majukumu yao. (PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake