Mwanamuziki wa kizazi kipya Ali Kiba (kulia) akiwa ametua Belgium tayari kwa makamuzi ya ziara yake ya Ulaya atakayoianza Weekend hii ambapo Tqrehe 14 July 2012 atawasha moto Copenhagen, Denmark. Pichani Ali Kiba akiwa na wenyeji wake.
1 comment:
Anonymous
said...
Super super sana, patakuwa hapatoshii pale Copenhagen. Weraaaaaaa weraaaaaaaaaa
1 comment:
Super super sana, patakuwa hapatoshii pale Copenhagen.
Weraaaaaaa weraaaaaaaaaa
Post a Comment