ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 8, 2012

ATCL Uniforms Cost USD 50,000 = 77,322,000.00 TZS

                    Uniform za ATCL zilizoshoneshwa China kwa gharama ya USD50,000 .Je, tutafika?

10 comments:

Anonymous said...

HAYO YOTE NI MATUNDA YA MAFISADI WA SERIKALI,INAONYESHA NI JINSI GANI WALIVYO NA UFINYU WA FIKIRA,LICHA YA KUTUMIA MAMILION YA TSHS ALSO WAMEPUNGUZA VIPATO KWA WAZAWA KWA KU EXPORT KAZI NJE YA NCHI.CCM UR DAYS R NUMBERED

Anonymous said...

Jamani naombeni tuandamane mimi sijakubaliana na hizi uniform kwa kweli hehehehehe kama waimba kwaya wa Rose Muhando mweeh

CALYPSO said...

HII SASA KALI INAMAANA TANZANIA NZIMA HAKUNA MAFUNDI HADI NGUO ZIKASHONWE CHINA?AU NDIO KWA SASA KILA KITU HADI KITOKE CHINA?$50,000 USD.HONGERA ATCL KWA MPANGO HUU LAZIMA TUTAENDELEA MBELE.

Anonymous said...

hapana hatufiki kokote. kwa kuziangalia kwa haraka haraka, inaonekana kitambaa kilichotumika ni cha cotton au linen, au linen like. vitambaa hivi vyote bei dezo. pili hayo marembo yanaonekana kama ni ya kitambaa cha batiki, kwa mahesabu ya haraha tuseme nguo mija labda kama dola kumi tuu za kimarekani. Zimeshonwa wapi? Tanzania au nje. na kama zimeshonwa kila moja haizidi mita tatu jamani. (msinichambe, mie fundi nimeanza kujifunza kushona tangu darasa la pili) na kila nguo ukiikalia kitako haichukui zaidi ya masaa mawili, huu ni mshono rahisi kabisa, shingo duara na kifua cha juu au bila kifua unabandika vipande kwa juu. Loo huu ni uhalifu na wizi usio na kichwa wala miguu, we have a long way to go

Anonymous said...

Jamani mbona hatuoni comment zetu?

Mzee wa Changamoto said...

...kilichonifurahisha zaidi ni taarifa kuwa walioenda kushomesha walikaa siku 45 kwenye hoteli ya hadhi ya nyota tano

CALYPSO said...

HIZI NI NGUO WANAZO VAA ASKARI WA MAGEREZA HALAFU TUMELIPIA USD 50,000

Anonymous said...

Wezi wakubwa, wafunguliwe mashitaka,

wazilipe hizo pesa, wajinga kweli. Uniforms gani hizo ?Giza tupu! aibu tupu. Looh!

Anonymous said...

Jamani mbona vitu vya hajabu hivi. Uniform mbaya kama watu wanajihandaa kwenda kulima kwenye shamba la ushirika...kwani walishindwa nini kutumia pesa hizo kuwa nunuliwa wafanyakazi wao taxido? au wangeshonesha kwa mafundi hapa bongo wangechagua uniform nzuri sana na bei ingekuwa poa vibaya mno isingefika hata $10,000 kwa kampuni nzima jamani. Lazima walipie ngurue poli hao

Anonymous said...

Ha ha haaaa wakereketwa mtajibeba mwaka huu MONEY TALK!!!