ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 14, 2012

Business Policy for Rodger's Export



MAELEKEZO NA UTARATIBU WA
BEI ZA USAFIRISHAJI WA MIZIGO Z.N.Z/D.S.M
NDUGUZANGU WATANZANIA NAPENDA KUWAJUILISHA WATU WOTE WANAO PENDELEA KUNUNUA NAFASI ILIYOMO NDANI YA CONTENA MALIPO YANAKUA KWA KILA (5 FT) PAMOJA NA USHURU WA TANZANIA, BEI ITAKUA ($1600) (5FT).($3000-10FT)BEI HIYO NIKWA WAKAZI WA (NC, VA, DC, NY, NJ, PA, GA, MD, DEL, OH) KWA MAELELZO ZAIDI WASILIANA NA HAJI (919-672-6063)
USAFIRISHAJI WA MASANDUKU, AU PLASTIC CONTENA UKUBWA WA PLASTIC CONTENA (30 GL), UZITO WA SANDUKU NA PASTCK CONTENA, (80-85 LBS $120) BEI HII NI KWA WAKAZI WA (NC) TU KWA WAKAZI WA (VA, DC,NY, NJ, PA, GA, MD, DEL,OH) BEI INAKUA ($150 KWA 80-85 LBS) NA UKIWEZA KULETA MZIGO WAKO (NC) BEI ITAKU ($120 KWA POUND 80-85) ONGEZEKO LA PAUNDI KUTOKA (85 LBS) KWENDA JUU KILA PAUNDI (10 LBS) ITAKUA ($20) NA KILA (1 LB) ITAKUA ($2) ONGEZEKO LA BEI LINAANZIA PAUND (90LBS)
USAFIRISHAJI WA MABOX, BOX LIWE NA UKUBWA WA NCH (25-25 INCHES) NA BOX LAZIMA LIWE GUMU NA LIWE MAZUBUTI BEI YA BOX ($150) KWA (80-85LBS) BEI HII NIKWA WAKAZI WA (NC) TU KWA WAKAZI WA (VA, DC, MD, DEL, OH, NY, NJ, PA, GA) BEI YA BOX ($200)(80-85LBS) NDUGU ZANGU WATANZANIA MTU YOYOTE ANAEAMUA KUSAFIRISHA BOX LAZIMA BOX LIWE NA UMAZUBUTI NA LIWE GUMU KAMA MNAVOJUA MABOX YASIOKUA NAUMAZUBUTI NI RAHISI SANA KUCHANIKA
BEI ZA VITUTOFAUTI
WASHER & DRYER $200 EACH
2-DOOR REFRIGERATOR (ITATEGEMEA NA UKUBWA) $300-350
1-DOOR REFRIGERATOR $250
OVEN/STOVE $200
KOCHI LA WATU WAWILI $250
KOCHI LA WATU WATATU $300
KOCHI LA MTU MMOJA $200
KITANDA $300
GODORA NA BOX $250
MEZA YA CHAKULA PAMOJA NA MEZA YA KATI NA MEZA 2 ZA PEMBENI (ITATEGEMEA NA UKUBWA WA VITU HIVO) $150-$350
KABATI ITATEGEMEA NA (UKUBWA WA KABATI HILO) $200-$300
FLAT SCREEN TV’S $150-$200 ITATEGEME NA UKUBWA WA BOX
BEI HIZI NI KWA WAKAZI WA (NC) TU, KWA WAKAZI WA (VA, DC, MD, NY, NJ, PA,GA, DEL, OH) BEI ZITAKUA TOFAUTI KAMA NIKIJA KUCHUKUA MIZIGO YENU, LAKINI UKILETA AU UKITUMA MZIGO WAKO MWENYEWE BEI TAKUA SAWA NA WAKAZI WA (NC) VILE VILE NAWAJUILISHA WA TANZANIA WOTE WANAOISHI KATIKA STATE MBALI MBALI KWA WALE WANAOPENDELEA KUSAFIRISHA MIZIGO KWA NJIA YA CONTENA KWENDA (Z.N.Z/D.S.M) KAMA MTU ATALETA AU ATATUMA MZIGO WAKE MWENYEWE BEI ITAKUA SAWA NA WAKAZI WA (NC) KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA MIMI USAFIRI UTAKUWEPO MWISHO WA MWEZI WA SEPTEMBER (DATE TO BE ANNOUNCED).

No comments: