ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 11, 2012

FC KILIMANJARO YAENDELEZA UBABE WAKE KTK LIGI DARAJA LA 7 DHIDI YA MARCHE FC KWA USHINDI WA BAO 4 - 3 UGENINI

MCHEZAJI ABASI W FC KILIMANJARO
MCHEZAJI MGAYA WA FC KILIMANJARO AKIPONGEZWA NA MMOJA YA WACHEZAJI WA TIMU YA MARCHE FC BAADA YA FCKILIMANJARO KUIBUKA NA USHINDI MWA BAO 4-3 MECHI ILIYOCHEZEWA UWANJANI WA NYUMBANI WA MARCHE FC.
WACHEZAJI GAO NA ABASI WA FC KILIMANJARO.
WACHEZAJI WA FC KILIMANJARO WAKIPATA PICHA YA PAMOJA.
WACHEZAJI WA MARCHE FC WAKIWAPONGEZA WACHEZAJI WA FC KILIMANJARO KWA KUIBUKA WASHINDI WA MPAMBANO HUO. 

No comments: