HIIII NI AJALI IMETOKEA USIKU WA KUMAKIA LEO NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI NA WAWILI WAPO HOSPITALINI HALI ZAO SIO NZURI SANA,WALIOPOTEZA MAISHA NI DENIS SAITOTI NA MWINGINE AMEFAHAMIKA KWA JINA MOJA TU LA FARAJI WALIKUWA WAKITOKA NAIROBI KUJA ARUSHA WOTE NI WAKAZI WA ARUSHA
MMOJA WA ABIRIA KWENYE GARI HILO AKIWA HOSPITALINI.
PICHA KWA HISANI YA ELLY MBEYALE
1 comment:
hawa vijana walifarfiki Luka so u might want to take this down kwa ajili ya Ndugu zao.
Post a Comment