ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 11, 2012

AJALI USIKU WA KUMAKIA LEO

 
HIIII  NI AJALI IMETOKEA  USIKU  WA KUMAKIA LEO  NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI NA WAWILI  WAPO HOSPITALINI HALI ZAO  SIO  NZURI SANA,WALIOPOTEZA MAISHA NI DENIS SAITOTI  NA MWINGINE AMEFAHAMIKA KWA JINA MOJA TU LA FARAJI  WALIKUWA WAKITOKA NAIROBI KUJA ARUSHA  WOTE NI WAKAZI WA ARUSHA
MMOJA WA ABIRIA KWENYE GARI HILO AKIWA HOSPITALINI.

PICHA KWA HISANI YA ELLY MBEYALE

1 comment:

Mimi said...

hawa vijana walifarfiki Luka so u might want to take this down kwa ajili ya Ndugu zao.