Usikose, Watanzania waishio Frederick, MD, USA. Wanakutana Jumamosi ya saba saba July 07, 2012 saa kumi jioni.
Address ni Baker Park, opposite na 305 Fleming Ave, Frederick, MD 21701.
Ukisoma tangazo hili mfahamishe na mwenzako
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
1. Charles Tenga 301 237 7017
2. Peter Maghimbi 301 452 8451
3. Neto 240 367 2234
4. Bora 240 405 6541
5. Alex 301 305 9685
No comments:
Post a Comment