Hapa Joyce Kati alie kula dondo ya Bachelor Of Business Administration In International Business And Bachelor Of Arts In Economics akiwa na marafiki zake Chris kulia kwake na Lily kushoto kwake wakipata ukodak kama kumbu kumbu katika party hiyo.
Gaston nae aliegraduate na kujibebesha nondo ya Bachelor Of Business Administration in Computer Information System. Akipata picha ya kumbu kumbu na rafikia yake katika party hiyo.
Fetty na smile ya haja mwana kwetu wewee kwa raha zako....
Joyce na Chris kushoto kwa Joyce ni Monica aka Lulu Ukodak Moment....
Mama na watoto wakiwa na marafiki Ukodak Moment kama kawaida
Maafisa wa Ubalozi Wa Tanzania Hapa New York Wakipata Picha Ya Pamoja
Maafisa Wa Ubalozi Wa Tanzania Hapa NYC Wakiwa na Nyuso Na Smile Changamfu Kabisa Kuashiria Akuna Matata. |
Mankuli Nayo Kama Kawaida ......Watu Peopleeee!!
Kila panye pati Apakosi Vimiminika Kwa Wale Wanaopenda Kuvyonza Apakukauka Ulipata Kitu Roho Inapenda.......
Ny Ebra Akiwa na Dada Yake Monica Wakiwakirisha Communities
MC Wa Party Hiyo Mis Msendo,
picha by Ny Ebra!!
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake