ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 9, 2012

HAPA NA PALE KATIKA PICHA ZA VIDEO SHOOT YA WANAMUZIKI- "AJ UBAO FT "LINAH" NCHINI MAREKANI

Linah katika picha 
Juu na chini ni AJ Ubao akiwa na Tamia katika picha ya pamoja
DMK (shoto) na AJ Ubao.
Juu na chini AJ Ubao na Linah
Mwanamuziki Linah akiwa na AJ Ubao (shoto) pamoja na DMK
DMK akiwa na Tamia
DMK akidanki.
kutoka kushoto ni AJ Ubao, Linah, DMK na Tamia.
Linah akiwa kwenye gari la kibanda wazi
 
Linah akiwa na DMK
kutoka kushoto ni AJ Ubao, DMK, Linah na Tamia

9 comments:

Anonymous said...

since when"EMORO"play basket ball???????????

Anonymous said...

.....and since when watu wakacheza basketball na vichupi?....na hii movie inahusu basketball or inahusu uhusiano wa Lina na Dmk? Tunaomba tufafanuliwe vizuri,na huyo director wenu Dmk at the same time ni starring wa hiyo movie inabidi ucome na different idea coz that kind of movie ilikuwa ni back of those days za wakina Diplomats(turuke rule kwa Furaha) sio ss hivi 2012....napita tu

Anonymous said...

Sasa wewe unataka acheze na gauni, mijitu mengine bwana, wamependeza acheni wivu wenu wabongo, na usubiri kideo itoke ndio uanze kujudge kama ni basketball au inahusu lina na dmk au inahusu mavi na mkojo ndio maana hatuendelei, namimi nilikua napita tu

Anonymous said...

Duh....Watu bana kwa kuponda,We kwanza Mbona hajaandika Director alikuwa nani,Wewe umejuaje.?au ndo wale mnaojifanya marafiki wakati mnahate,Pia Mbona P.didy akiderect music video na eye akawemo ham semi ?..au Spike Lee ,Steven Spielberg anadirect na anakuwemo pia kwenye Movie,lakini ham semi.?Kanumba na Ray kule bongo wana andika,movie wenyewe,wanadiect wenyewe,wana edit wenyewe,wana act wenyewe,wana promote wenyewe,wana screen play wenyewe,Lakini ham semi?Au wewe anony hapo juu unachuki binafsi najamaa nini?....Kama unamchukia mtu mchukie lakini usipinge hatua za maendeleo Yake...Bwana DMK Kama ukisoma hapa Big up keep moving waache waendelee kuhate.....We can't wait to see your work on the Video!

Anonymous said...

Haters Bwana...Eti Emoro,Kwani kuna tatizo ganging Mtu mfupi akicheza basket....yaani inaonekana Watu wana mate Sana DMK maaana Watu wrote kwenye picha anaongelewa yeye tu....If u got haters means u r doin something that's why they hate u so Kama ungekuwa nobody nani angle kuhate?...Wabongoo tutaacha lini majunguuuuuu,

Anonymous said...

wabongo mtu akisema ukweli anaambiwa wivu, sio kwamba acheze na gauni lakini hicho kipensi mmmmhhh...., fuatilia vizuri jezi za basket za kike ziko vp, sio wivu !!

Anonymous said...

Weseme hiyo movie itatoka lini na itapaticana wapi hapa USA, I will be Their first customer,ugonjwa wangu ni huyo mrembo TAMIA 'she is so cute'.

Anonymous said...

Mh mi napita tu bt apo utata

Anonymous said...

Big up to AJ and DMK...Keep the movement alive,Also Linah and The other Girl mmetokelezea so beautifully....Video inatoka liniiiiiiii tuone Kazi ya DMK maana inaonekana watu wanasubiri iLi wa hate but my advice don stop till u get it ...na mi napita tu hapa ntarudi baadae,