Ile Party ya Oldschool iliyokua ifanyike Atlanta, Georgia July 14, 2012 sasa itafanyika December 8, 2012 Usiku wa kuamkia siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, na itafanyikia hapo hapo ATL kwa sasa burudika na Video ya Oldshool na Taarifa zaidi zitafuata, poleni kwa usumbufu wowote utakaotokea.
1 comment:
Thanks for madebe Uncle Luke, umenikumbusha mbali sana.
Alu
Post a Comment