ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 15, 2012

SHEREHE YA KUMUAGA MHESHIMIWA ASHA-ROSE MIGIRO NEW YORK KESHO JUMAMOSI JUNE 16, 2012


MABADILIKO YA SHEREHE YA KUMUAGA MHESHIMIWA NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA DR. ASHA ROSE MIGIRO, MJINI NEW YORK

UONGOZI WA JUMUIYA ZA WATANZANIA ZA NEW YORK NA WASHINGTON, DC ZIKISHIRIKIANA NA BALOZI ZETU ZA WASHINGTON, DC NA UMOJA WA
MATAIFA ZINAOMBA RADHI NA KUTANGAZA MABADILIKO YA SHEREHE
YA KUMUAGA MHESHIMIWA DR. ASHA ROSE MIGIRO KAMA IFUATAVYO:-

1. SHEREHE HII SASA ITAKUWA WAZI TU KWA WALE WANAJUMUIYA WATAKAOCHANGIA KIASI CHA $30.00 NA KUTHIBITISHA KUSHIRIKI KABLA YA SIKU YA IJUMAA TAREHE 15 JUNI, 2012 SAA 11 JIONI.
2. WATU WOTE WATAKAOPENDA KUSHIRIKI WANAOMBWA KUTHIBITISHA KUPITIA VIONGOZI WALIOORODHESHWA HAPO CHINI.
3. SHEREHE HII ITAKUWA NI CHAKULA CHA JIONI (DINNER) BADALA YA NYAMA CHOMA KAMA ILIVYOTANGAZWA HAPO AWALI.
4. ANUANI ITAKAPOFANYIKA SHEREHE HIYO NI : 86 JUDSON AVENUE DOBBS FERRY,NY,10522
5. MUDA : SAA 12:00 JIONI – 3:00 USIKU (6:00PM-9:00PM)

JUMUIYA NA BALOZI ZOTE ZINAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA NA UTAKAOJITOKEZA KUTOKANA NA MABADILIKO HAYA.


R.S.V.P : BY FRIDAY 5PM LIMITED SEATS
CHAIRMAN NYTC:HAJJI KHAMIS 347-623-8965
PRESIDENT DMV:IDDI SANDALY 301-613-5165
SECRETARY NYTC:SHABANI MSEBA 347-712-8539.

AHSANTENI NA TUNAWASHUKURU KWA KUELEWA KWENU.

HAJJI KHAMIS
CHAIRMAN
NYTC.

2 comments:

Anonymous said...

Why changing things out of thin air???
You don't even involve stakeholders(Tanzanians)to review there preference and act according to the majority need?

Madam she deserve a good farewell part ,na shughuli ni watu !!!sasa namna hii watu watatoka wapi?

Anonymous said...

na mbona taarifa hii hamjaitoa mapema nilicheki michuzi sijaona hiyo siku ya ijumaa na hapa pia katika blog yango luke. inasikitisha sana mambo yanakwenda kienyeji enyeji na kuwapa masifa tuu hao wahusiki.any way kila la kheri mheshimiwa na safari nje ya kwenda nyumbani