Mahojiano na Mhe. Mch Peter Msigwa na Mhe Joshua Nassari Part 1
3 comments:
Anonymous
said...
Kwakweli napenda kuwapongeza kwanza mlioandaa mahojiano haya, Kwakweli sikuwa nikiwajua vizuri mchungaji Peter Msigwa na Joshua Nasari kabla hawakuwa wabunge, ila kwa sasa nimewafahamu na hasa hii ziara yako ya hapa Washington kwa ajiri ya kufungua tawi la chadema. Kitu nachotaka kuelezea ukiwasikiliza hawa waheshimiwa utagungua kwamba kweli wana maono na upeo mkubwa wa uongozi, mimi binafsi nawapongeza na kuwapa moto kwani nimegundua wana vitu vya ziada ndani Yao. Kwa akili ya kawaida tu ukiwasikiliza hawa watu na ukimsikiliza Mh Kikwete utagungua utofauti wa kiongozi mwenye dhamira na kiongozi mbabaishaji, Kikwete ni mbabaishaji na si kiongozi.
3 comments:
Kwakweli napenda kuwapongeza kwanza mlioandaa mahojiano haya, Kwakweli sikuwa nikiwajua vizuri mchungaji Peter Msigwa na Joshua Nasari kabla hawakuwa wabunge, ila kwa sasa nimewafahamu na hasa hii ziara yako ya hapa Washington kwa ajiri ya kufungua tawi la chadema. Kitu nachotaka kuelezea ukiwasikiliza hawa waheshimiwa utagungua kwamba kweli wana maono na upeo mkubwa wa uongozi, mimi binafsi nawapongeza na kuwapa moto kwani nimegundua wana vitu vya ziada ndani Yao. Kwa akili ya kawaida tu ukiwasikiliza hawa watu na ukimsikiliza Mh Kikwete utagungua utofauti wa kiongozi mwenye dhamira na
kiongozi mbabaishaji, Kikwete ni mbabaishaji na si kiongozi.
hello sorry for that why u wasn't asked them about the background or original even the level of education they have it u should ask man
This is very refreshing. Very encouraging and truly promising.
Post a Comment