ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 14, 2012

MAISHA HUENDA SAMBAMBA NA MATUMAINI


3 comments:

Anonymous said...

Walau leo blog hii imejitahidi kuonyesha taswira ya jamii yetu ya kibongo ilinyo. Siyo kila kukicha mapicha ya harusi, wanamitindo au mamisi ili mradi kila kitu na maisha inayoandika blog hii ni mambo mazuri mazuri tu na wanaoandikwa na mapicha yao ni watu wenye afya nzuri kama siyo kutoma kwa Obama basi Ulaya na ikiwa bongo ni wale wakali. Blog siyo tu burudani ila kuelimisha jamii. Nadhani mtabania maoni haya kwani hayasomeki vizuri. Huyo hapo juu kweli ni president wa Tanzania baadaye ila sasa ataweza kwenda shule kwa kimbembe cha shule za bongo hata chaki madarasani ni issue?

Anonymous said...

Yes you can..!

Anonymous said...

YES YOU CAN!