ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 21, 2012

Masikini Bibi wa watu !

Video hii inaonyesha bibi aitwae Karen Klein ambaye ana umri wa miaka 68. Bibi huyu ambaye kazi yake ni ku monitor watoto wakiwa ndani ya basi la shule wakienda na kutoka shuleni, anakuwa harrased and bullied na watoto wadogo wa Athena Middle School in Greece, New York.....mpaka bibi wa watu analia! - VERY SAD !

Kuna wasamalia wema wameamua kuanzisha campain ili kumsaidia bibi huyu angalau aende Vacation, mpaka leo asubuhi zimepatikana zaidi ya $ 120,000.00 - (http://www.indiegogo.com/loveforkarenhklein?c=home) usisahau kusoma comments.

5 comments:

Anonymous said...

mmm so sad ,watoto wa huku heshima kwao ni zero jamani tuwe makini na watoto wetu kuwafundisha kwamba heshima ni kitu cha bure sio kwamba wamezaliwa huku tusahau kuwakumbusha culture yetu tulikotoka ili wasiige hizi tabia mbaya za hawa watoto wa huku

Anonymous said...

Tujitahidi sana,tusisahau na imani zetu za dini zinajenga upendo na adabu, bahati mbaya maz
ingira wanayokulia pia k.m shule,,mahali tunapoishi (neighborhood) vinahusika kujenga. Au kuharibu.

Anonymous said...

bibi kisha lamba hizo pesa alizochangiwa nauliza nanauliza je angekuwa mweusi angechangiwa?
namsikitikia sana lakin najua kwamba atasaidiwa kwa ngozi yake.
kazi kwetu kuwadekesha watoto wetu bila kuwakanya kuna wazazi wenzangu huwa wana tabia hii matoke yao watoto wanakuwa watundu kupita kiasi na mwishowe watoto wanawapanda vichwa wazazi na mzazi hana la kusema. mungu atusaidiye tu

Anonymous said...

so sad,marekani hapa watoto wengi hawana adabu,ingawa hata Tz wapo watoto wa hivi,ila hapa zaidi.Inasikitisha,tujitahidi kuwalea watoto wetu kwa maadili ya ki Tz.

Anonymous said...

Hapa utamaduni hovyo kabisa eti watoto anafanya ujinga huu unawaangalia unaogopa sheria eti watapiga cm polisi.System imeharibu malezi ya watoto kabisa,Mtoto wa nyumbani kufanya hivi anaogopa kibano na pia kuongea na mzee bila nidhamu ni laana!ndivyo tulivyofundishwa hivyo tusipoteze asili yetu kwakweli Ni muhimu sana kuwalea watoto wetu kama tulivyolelewa wakikua watakufurahisha badala kukuletea majuto.Mtoto akiwa mdogo wawezamfundisha akikua huwezi tena samaki mkunje angali mbichi!