ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 21, 2012

MCHUNGAJI KIWEDDE ARUDISHWA RUMANDE

Mchungaji wa nchini Uganda William Muwanguzi a.k.a Pastor Kiwedde amerejeshwa rumande kwa tuhuma za kula njama na wenzie waliombaka mwanamke wa miaka 30.
Makamu mzungumzaji wa polisi, Judith Nabakooba amesma Kiwedde na wanaume wenzie watatu, wakisafiri katika gari binafsi waliwachukua wanawake wawili kutoka pub ya Kabuusu na kuwapa ofa ya kwenda kunywa.
Wanawake hao baadae walipatwa na wasiwasi na kujaribu kutoroka ambapo mmoja wao alifanikiwa, wakati aliebaki alibakwa na wanaume hao wawili.

4 comments:

Anonymous said...

ndo maana dini yangu inaruhusu kuoa wake wanne kama unauwezo si kukataza watu wasio au waowe mkee mmoja wakati bado nguvu unazo nyingi na mkee mmoja hakidhi haja au bila ya kuwa na mkee ndo matokeo yake hayaa tunayoyasoma .

lakini si mbaya uzi ndo ule ule kazeni butu kwenda mbele mchungaji oyeeee

Anonymous said...

Wachungaji matapeli,wazinzi,wapo wengi sana. Wameifanya dini Kama kivuli cha kufichia maovu yao. Wafungwe, na huko jela watabakwa wao sasa.mijitu mingine haifai ni mijinga kabisa

Anonymous said...

Wapo wachungaji matapeli, maneno matamu, wazinzi, dini wameifanya kitega uchumi chao. Pia mwamvuli wa kufichia aibu ya uozo wao. Wapo duniani pote, hapa US.A wapo pia. Wafungwe, na huko watabakwa kila siku,wakitoka jela hawatamaniki, na pengine watazawadiwa magonjwa sugu yasiyopona.

Anonymous said...

mnaubuka sasa na watu wa dini yenu