Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiamtaifa,Mhe. Bernard Membe (kulia) akifanya mahojiano na Sunday Shomari kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Washington, DC kuelezea Ujio wake Nchini Marekani na kuzungumuzia maswala mbalimbali yakiwemo swala la Raia mbili lilipofikia.
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar akifuatilia mahojiano.
Maafisa Ubalozi na Kaimu Ubalozi Mhe. Lilian Munanka na Grace Shangali, Mkurugenzi Msaidizi Idraya ya Ulaya na Marekani katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiamataifawakifuatilia mahajiano hayo yaliyofanywa na Sunday Shomari (hayupo pichani) kwa niaba ya Blogger wa DMV na Marekani kwa Ujumla.
Mwanalibeneke Sunday Shomari (shoto) akipata picha ya pamoja na Mhe. Waziri Bernard Membe
Sunday Shomari na Afisa Habari wa Ubalozi, Mindi Kasiga wapipata picha ya pamoja na Mhe. Waziri, Bernard Membe baada ya mahojiano kumalizika.
Kutoka kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Mhe. Bernard Membe, Afisa Habari wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Mindi Kasiga na Balozi wa Tanzaniania nchini marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar wakiwa kwenye picha ya pamoja katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania, Wshington, DC.
Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar katika picha ya pamoja na Mhe.Waziri Bernard Membe
Kutoka kushoto ni Kaimu Balozi, Mhe. Lilian Munanka, Mhe. Bernard Membe, Mhe. Mwanaidi Maajar na Grace Shangali Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Ulaya na Marekani katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiamataifa
Maafisa Ubalozi wakipiga picha ya pamoja na Mhe. Waziri Bernard Membe.
Mhe. Waziri Bernard Membe, Mhe. Balozi, Mwanidi Maajr, Kaimu Balozi Mhe. Lilian munank maafisa wa Ubalozi na Wajumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakipiga picha ya pamoja nje ya Jengo la Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani uliopo Washington, DC.
Kutoka kushoto ni Afisa Mindi, Togoleni kutoka Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiamataifa na Sunday wakipata picha ya kumbukumbu katika mtaa wa 22 jijini Washington, DC.
1 comment:
jitahidini katika spelling za majina ya watu na maneno ya kiswahili..
Post a Comment