Waheshimiwa, kupitia blog zetu maarufu Tanzania na nje; Michuzi, Mjengwa, Ngowi, Vijimbambo na nyingine naomba uniwasilishie swali langu kwa Watanzania wengine kusudi wachangie;
SWAHILI: “KITU GANI AMBACHO KAMA NCHI WATANZANIA TUNAFIKIRI HATUKIFANYI VIZURI?
NA KITU GANI WEWE BINAFSI UKIFANYI VIZURI?”
ENGLISH: “WHAT IS OUR MAJOR MALFUNCTION AS A NATION?”
Ikiwezekana majibu yaelekezwe kwenye sehemu ya maoni. Tuanzie hapo kupata ufumbuzi wa kurekebisha mwelekeo wetu. Katika Tanzania ya sasa blogs zinaweza kuifahamisha, kuielimisha na kuikosoa jamii zaidi kuliko hata radio na TVs.
3 comments:
majority of the old school leaders hawakubali kuambiwa ukweli, kuna ile kasumba kuwa huweze kuwambia baba yako au mama yako kuwa wazo lake au tendo lake kalikosea na linatakiwa lifanywe tofauti eti ni kuvunja heshima
ii) WE NEED NEW BLOOD OF LEADERS IN OUR COUNTRY...PERIOD!!!
III)WE NEED ACCOUNTABILITY kutoka kwa viongozi wetu n let them know that they ar answerable to the citizens that put them in power
iv) WE NEED TO PRIORITIZE THINGS, on the crucial areas of development ndio serikali iipe kipa umbele sio kila siku tu wamelaunch mgahawa gani, sijui viwanja vya kujirusha vimefunguliwa wapi etc there are more serious issues kama clinics in remote areas, roads infrastructure in rural areas kwa urahisi wa wakulima accessibility etc, mashule etc
nchi imekua damping zone, vitengo vya kuclassify haviko functional kabisa au ni rushwa zimewazembesha
-foreigners wanapewa priority zaidi ya wananchi
-wananchi wana kasumba ya kuridhika na kukubali maamuzi na mara nyingi kunyamaza
1)Watanzania wote tumekuwa short sighted na raha za muda, na hii inachangia directly or indirectly kuliua Taifa. Mfano; tunafahamu makampuni ya nje yanayokwepa kodi lakini sisi tunachangia kuendeleza huo uzembe kwakukubali kuwapa business iliyaendelee kukua inexchange ya vizawadi vidogo vidogo e.g. so called miradi ya maendeleo, kwa market kwenye blogs etc. Mifano hai ni makampuni ya simu, machimbo ya madini etc. Yaani haya makampuni yana lobby kuanzia kwa goverment kuu, wabunge, mpaka wananchi wa kawaida. Wanafahamu kabisa in long run wana-benefit big time. Mimi na wewe kuwa na line na kampuni ya simu inayokwepa kodi ni kushindwa wajibu wetu.
11)Kukumbatia mafisadi/wazembe-hili kwakweli tumefeli kama nchi na kama individuals. Tunajua kabisa uzembe fulani lakini tunaufumbia macho. Tunajua kabisa mtu fulani ha-qualify kwenye position fulani lakini tunampigia debe-tunamuweka kwavile ni mtu tunayemfahamu. Tunaona kabisa wizi unafanyika, tunawajua kabisa wafanyabiashara au watu walioko kwenye mtandao wa madawa ya kulevya lakini tunanyamaza. Just because our institutions have failed that does not mean we as " people" are toothless. Kwa pamoja tukiamu tukaweka tofauti zetu kando tunaweza.
111) Kukosa uzalendo wakusaidiana, elekezana, na kufundishana. Nafikiri nchi yetu wazalendo waliobaki ni wachache sana. Mtu una-kitu/information ambayo unajua ita-benefit watu/mtu mwingine lakini kuliko kusaidia tutataka tu-make money out of it, au kuficha kabisa ili mwingine asipate hayo mafanikio. Na hii inaenda sambamba na mtu anagombania uongozi akakosa; then vile vyote alivyopanga kusaidia kama angeshinda anaweka kapuni. Mtu umefanya project au plan fulani ikafanikiwa basi ukiulizwa hutaki ku-share secret ya success yako.
Naona mimi niishie hapo wengine waendelee. Samahani kwakuchanganya lugha.
Post a Comment