ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 1, 2012

ROUND TABLE DISCUSSION FOR US NGOs

Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar akiongea jambo kwenye mjadala wa NGOs round table uliofanyika Alhamisi May 31, 2012, Washington, DC.
Mhe. kaimu Balozi Lilian Munanka akisisitiza jambo, Mhe. Munanka ndie aliyeongoza mjadala wa NGOs Round Table uliofanyikia Washington, DC
Bw. Ikomba E. Mathew ambae ni Afisa wa Uhamiaji upande vibali vya kufanyia kazi akielezea utaratibu unaotakiwa kufuata unapokua unaomba kibali cha kufanyia kazi Nchini Tanzania.
Trina Gunn Afisa wa Peace Corps akielezea jambo katika muendelezo wa mjadala wa NGOs round table uliofanyika Alhamisi May 31, 2012, Jijini Washington, DC.
Afisa Ubalozi Suleiman Saleh akielezea taratibu za chanjo unapokua unasafari ya kwenda Tanzania.
Kelly Daly  ambae ni Officer for Tanzania U.S. Agency For International Deleopment (USAD) ambae ameishafanya kazi Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania akielezea utaratibu wa nini cha kufanya kwa Wamarekani waotembelea Tanzania.
 
Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar akimsikiliza mmoja ya mwanaNGOs aliyekua anataka ufafanuzi wa jambo fulani, kati ni Afisa Ubalozi Dr. Mkama.
WanaNGOs wakifuatilia mjadala.
Hadija Riyami kutoka VOA akiandika jambo wakati akiwa kwenye mjadala wa NGOs round table uliofanyika Alhamisi May 31, 2012 Jijini Washington, DC.
Juu na chini ni WanaNGOs wakiongozwa na Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar wakifuatilia jambo.
 WanaNGOs wakifuatilia mjadala

Kwa picha zaidi bafya Read More

1 comment:

Unknown said...

A Phenomenal Conference of its kind; great organization and representation. Once again I appreciate our renowned VIJIMAMBO DJ Luke Joe who captured it all in remarkably marvelous pictures!