ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 28, 2012

Tangazo: IskaJoJo Photography.

Kwa wale wateja wa IskaJoJo waliopiga picha Jumamosi iliyopita (Juni 23, 2012), picha zenu zipo tayari kwenye mtandao.

Unaweza ku download (kwa ajili ya facebook) au ku order prints moja kwa moja online. Kama una swali au unahitaji msaada wa ku order, tafadhali wasiliana na iskaJoJo.

Ukitaka picha yako iondolewe, tafadhali wasiliana na IskaJoJo.

Vilevile ukibofya Read More hapa chini, kuna maelezo ya jinsi ya ku order picha.





Bofya Read More kupata maelezo ya jinsi ya ku order picha








1 comment:

Anonymous said...

That's my sister with below with masai style,girl you look great.she design this dress her self.good job we love your style