Wageni kutoka Columbus na sehemu za mbali wakiwapongeza maharusi watarajiwa, Bidan na Joyce.
Wageni waalikwa wakijumuika pamoja katika kuwapongeza maharusi watarajiwa Bidan na Joyce
Wageni waalikwa wakiendelea kuwapongeza maharusi watarajiwa
Maharusi watarajiwa wakiendelea kupongezwa na wageni waalikwa .
Wageni waliojumuika pamoja wakiendelea kuwapongeza maharusi watarajiwa kwenye sherehe yao iliyofanyikia Comfort Inn, Columbus, Ohio, Jumamosi June 9, 2012.
Wageni waalikwa wakiongea mawili matatu huku wakiendelea kuwapongeza maharusi watarajiwa.
Wageni waalikwa wakiwapongeza maharusi watarajiwa.
Wageni waalikwa wakiongea mawili matatu huku wakiendelea kuwapongeza maharusi watarajiwa.
Wageni waliojumuika pamoja wakiendelea kuwapongeza maharusi watarajiwa kwenye sherehe yao iliyofanyikia Comfort Inn, Columbus, Ohio, Jumamosi June 9, 2012.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
1 comment:
This shout out goes to my gal Fatma Mwamba...pendezaje sasa shostilangu,xoxoxo!
Post a Comment