Habari za kuaminika zimeifikia Blog ya Vijimambo kwamba Yule Waziri wa Uchukuzi Mh. Dr. Harrison Mwakyembe amepanda Treni ya Reli ya Kati kuelekea kwenye kikao cha Bunge. Sasa wadau tusubiri atoe dodoso la safari na malengo ya safari yake hii ya aina yake kwa Mh. Mwakyembe

No comments:
Post a Comment