Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Nd. Iddi Sandaly(kulia) akiwa na mgeni wake katika Futari ya pamoja iliyofanyika Hilandale siku ya Jumapili July 22, 2012 Silver Spring, Maryland.
Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja kwenye Futari ya pamoja.
Watanzania wakijumuika pamoja na marafiki zao kwenye futari ya pamoja kutoka kushoto ni AJ Ubao, Alawi na Karim.
Fadhili Londa akipata picha ya upendelea.
Wakina mama wakijipakulia chakula.
Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja kwenye futari ya pamoja.Watanzania waliojumuika pamoja DMV wakiendelea wakijipakulia chakula.
Chakula kikiendelea kupakuliwa
Watanzania wakiendelea kupata chakula
Kwa picha zaidi Bofya Read More
2 comments:
Luka naona aukupitwa kwenye futari...haya bwana...
nawatakia mfungo mwema DMV
Mdau Berlin.
Mpwa naona unatoa kicheko kikubwa baadaya ya kushiba MPUNGA.
Post a Comment